Tumia Kanuni Ya 60/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako.
M4A•Episode-Home
Manage episode 421553029 series 3280689
Inhalt bereitgestellt von Innocent Ngaoh. Alle Podcast-Inhalte, einschließlich Episoden, Grafiken und Podcast-Beschreibungen, werden direkt von Innocent Ngaoh oder seinem Podcast-Plattformpartner hochgeladen und bereitgestellt. Wenn Sie glauben, dass jemand Ihr urheberrechtlich geschütztes Werk ohne Ihre Erlaubnis nutzt, können Sie dem hier beschriebenen Verfahren folgen https://de.player.fm/legal.
Haijalishi wewe ni mpambanaji kiasi gani kama hauna msingi mzuri wa elimu ya fedha. Basi kuna uwezekano mkubwa utapambana sana ila kiuchumi inakuwa vigumu kukua. Kwa sababu... Umekosa nidhamu ya pesa ambayo ni muhimu kuwa nayo kama unataka kufanikiwa katika eneo la fedha. Kwahiyo... Ukianza kupanga bajeti ya fedha zako inakuwa rahisi kurekodi matumizi yako ya siku, wiki, mwezi, miezi n.k. Kwa kujua kwanini pesa zako zinaenda pale na siyo hapa na kwanini hapa na siyo kule. Kwa sababu bajeti inakusaidia kurekodi na kujua mtuririko wa matumizi yako. Swali linakuja, Je, wewe unapanga bajeti ya fedha zako au kikubwa uhai? Basi... Leo na habari njema kwako kwamba kupitia Kanuni ya 60/10/10/10/10 utaweza kuwaga fedha yako Katika makundi matano; 1. Kutumia kwenye matumizi ya lazima (Basic needs) 2. Kutumia kwenye starehe na burudani (Wants), 3. Kuweka akiba na uwekezaji (Saving and investing), 4. Kutoa fungu la kumi, 5. Kuweka fedha ya dharura (Emergency fund). Hivyo basi... Kanuni ya 60/10/10/10/10 kuilewa vizuri ni wakati sahihi wa kusikiliza episode ya 42 ya ujazo imeeleza kila kitu na mifano kama yote. Ushindwe wewe tu... Chukua hatua Sasa Kwa kubofya link hapo chini sasahivi kusikiliza madini.
…
continue reading
111 Episoden