Mashari öffentlich
[search 0]
Mehr
Download the App!
show episodes
 
Loading …
show series
 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Masuala na Utalii, katika taarifa ya misitu na ufugaji nyuki inabainisha kuwa mkaa ni chanzo kikubwa cha nishati ya kaya katika maeneo ya mijini kwa kupikia na kupasha joto, kwa kuwa inachukuliwa kuwa ya bei nafuu na inapatikanakwaurahisi. Inakadiriwa kuwa asilimia 85 ya watu wote wa Tan…
  continue reading
 
Uchumi wa Buluu ni dhana pana yenye kubeba maana nzima ya kutumia kila rasilimali itokanayo na rasilimali maji kama Bahari, mito na maziwa. Dhana hii ubeba shuguli mbalimbli ikiwemo utalii, uvuvi, kilimo cha mwani, bandari pamoja na mafuta na gesi zilizomo baharini au katika maziwa. Kwa wakazi wa Jumuiya ya Afrika mashariki hasa katika mikoa inayo …
  continue reading
 
Mradi wa kilimo endelevu unatanua mbawa zake sio tu katika kilimo bali pia kuwajengea uwezo wakulima kufanya shuguli za ufugaji. Mradi huu unatekelezwa kwa ufadhiri wa shirika la maendeleo la Ufaransa AFD katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania unakwenda mbali zaidi hadi kuwafikia wanamazingira. Mafuzo wanayopata wanasema yamekuwa chachu yakubadili M…
  continue reading
 
Sekta ya Nishati ndiyo mhimili muhimu wa maendeleo ya taifa lolote lile, Mathalan takwimu zinaonesha, mahitaji ya juu ya umeme yameongezeka ambapo serikali ya Tanzania inasema kuwa muelekeo ni kuongeza katika Gridi ya Taifa MW 218.67 na kufikia MW 1,913.22 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2022/23.Von RFI Kiswahili
  continue reading
 
Loading …

Kurzanleitung