Mashari öffentlich
[search 0]
Mehr

Download the App!

show episodes
Loading …
show series
 
Leo tunaangazia kuhusu uhuru wa kujieleza na kutoa maoni pamoja na athari za sheria ya mitandao nchini Tanzania. Kwa miaka ya hivi karibuni nchini Tanzania kumekuwepo na minong’ono ya hapa na pale ndani ya jamii kuhusu misingi ya kidemokrasia, uhuru wa kikatiba, na sheria za mitandao.Von RFI Kiswahili
 
Juhudi za vijana wa ukanda wa Afrika ya Mashariki na kati ambapo licha ya changamoto za hapa na pale kiuchumi na kijamii, lakini kwa namna ya pekee baadhi ya vijana wa ukanda huu wanajibidisha kuhakikisha wanajiajiri au kuajiriwa huku wakitaja nidhamu na uaminifu kwenye jamii inayowazunguka ndio siri ya mafanikio yao.…
 
Leo tunaangazia juu ya Uhusiano baina ya Burundi na Rwanda. Kwa zaidi ya miaka mitano sasa hali ya uhusiano baina ya nchi hizo mbili umezorota. Baadhi ya sababu zilizotajwa na kila upande, Rwanda inataja Burundi kuhifadhi baadhi ya wahusika wa uhalifu wa kibinadamu waliokimbilia Kongo, na kwa upande mwingine Burndi inataja kwanda kuhifadhi walifany…
 
Leo tunaangazia juu ya hatua ya serikali ya Burundi kusimamisha baadhi ya viongozi na maafisa waandamizi wa serikali iliyoko madarakani wengi wao wakiwa watumishi wa ikulu. Serikali ya Burundi ilifahamisha kwamba waliosimamishwa kazi akiwemo aliyewahi kuwa msemaji wa serikali Willy Nyamitwe na wengine, wamesimamishwa kupisha uchunguzi kwa tuhuma za…
 
Leo tunaangazia juu ya Kinywaji haramu cha ‘Gongo’ nchiniTanzania na ‘Chang’aa’ nchini Kenya. Baadhi ya wanywaji wa pande zote walioongea na RFI wanaomba serikali za nchi zao kuhalalisha kinywaji hicho cha Gondo ambapo kwa Kenya wao huiita Chang’aa, na kwa upande wa Tanzania huiita Gongo au Supu ya Mawe au Machozi ya Simba na kadhalika.…
 
Tunaangazia juu ya hatua ya Serikali ya Burundi kupitia upya mikataba ya madini lengo ikiwa ni madini ya nchi hiyo kunufaisha pande zote yaani Burundi na muwekezaji. KWa mjibu wa serikali ya Burundi, kwa sasa taifa hilo linanufaika na pato la madini aslimia 10% -15% na Burundi ingependa kiwango zaidi.…
 
Leo tunaangazia juu ya utamaduni wa kuandika na kusoma vitabu nchini Tanzania. RFI imefika jijini Dar es Salaam kukutana na waandishi wa vitabu Bw. Yerick Nyerere pamoja na Dr. Cyrilo Christopher ambao wamejitahidi saana kuandika vitabu na kuhamasisha usomaji vitabu nchini Tanzania.Von RFI Kiswahili
 
Leo tunaangazia juu ya changamoto ya ajira kwa Vijana wa nchi za Afrika ya Mashariki, na leo tunaungana na baadhi ya vijana wa Kenya na Tanzania. Baadhi ya vijana hao wanabainisha kuwa juhudi na bidii ndio njia muafaka ya vijana kufikia ndoto zao. Vijana wanashauri vijana wenzao kutumia elimu na vipaji ili kujiinua kiuchumi.…
 
Tunaangazia juu ya vipaji kwa vijana nchini Tanzania. RFI imefika tarafani Rulenge, Wilayani Ngara, mkoani Kagera magharibi mwa Tanzania na kuongea na baadhi tu ya vijana walioamua kuunda kukindi cha ‘JM Group’ kuendeleza vipaji vyao, na shughuli zao za vipaji kuwa ajiri, kuwaimarisha kiafya na kudumisha mila na tamaduni.…
 
Leo tunaangazia changamoto za utunzaji mazingira nchini Tanzania, tukijikita huko mkoani Kigoma magharibi mwa nchi hiyo. Kama baadhi ya wadau wa mazingira walioko wilayani Kibondo watakavyobainisha, kwasasa mazingira yanaharibiwa kwa kiwango kikubwa na kupelekea wadau kuweka wazi kilio chao.Von RFI Kiswahili
 
Leo tunaangazia juu ya uhaba na bei ghali kwa mafuta ya kula nchini Tanzania. Kwa mjibu wa serikali ya Tanzania kupitia wizara ya viwanda na biashara, viwanda vya Tanzania vinazalisha kiwango kidogo cha mafuta ya kula, hali inayopelekea wafanyabiashara kuagiza mafuta nje ya nchi.Von RFI Kiswahili
 
Tunaangazia juu ya mfuko wa kusaidia watu wasiojiweza kiuchumi nchini ujulukanao kama TASAF nchini Tanzania. Kumekuwepo na manung’uniko ya hapa na pale kuhusu wanufaikaji ambapo baadhi ya malalamiko yanataja baadhi ya watu au hata viongozi wanaojiorodheshakama wasiojiweza ili wafaidi mfuko huo.Von RFI Kiswahili
 
Wakulima wa zao la chai katika mkowa wa Kagera, nchini Tanzania, wameshindwa kuzalisha zao hilo kutoka na changamoto nyingi, ikiwemo kukosa kupata pembejeo za zao hilo. Wengi wakiachana na ukulima wa zao hilo.Juliani Rubavu ametuandalia makala kuhusiana na changamoto za wakulima hao.Von RFI Kiswahili
 
Loading …

Kurzanleitung

Google login Twitter login Classic login